| NYAMIZI JAMHURI:Akimlilia mdogo wake Ndolee Jamhuri(8)muda mfupi mara baada ya kudumbukia kwenye dimbwi la maji na kufariki dunia |
| Baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi wakibeba mwili wa mtoto huyo kwa ajili ya uchunguzi zaidi kabla ya kuukabidhi kwa Wazazi wa marehemu. |
| Baadhi ya wananchi wakijaribu kumshikilia Mama mzazi wa mtoto aliyekufa maji |
| Baba Mzazi wa marehemu Ndolee,Bw.Jamhuri akijaribu kuongea na maafisa wa Polisi kuhusu kukabidhiwa mwili wa marehemu kwa ajili ya mazishi. |


No comments:
Post a Comment