Pages

KAPIPI TV

Tuesday, October 21, 2014

HOTEL ZA DOUBLE TREE BY HILTON TANZANIA WADHAMINI SIKU YA CHAKULA ILIYOFANYIKA KWENYE VIWANJA VYA TANGANYIKA INTERNATIONAL SCHOOLS

 Hotel Za Double Tree By Hilton Tanzania Tarehe 18.10.2014 walidhamini Siku Ya Maonesho Ya chakula Iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya Tanganyika International Schools.Akielezea Madhumuni ya kuandaa siku hiyo  Mkurugenzi wa Mauzo  wa Hotel za Double Tree By Hilton Tanzania Bwana Florenso Kirambata alisema kuwa nia yao kubwa ni kuweza kuyapa fursa makampuni mbali mbali na wajasiliamali wadogo wadogo kuweza kuonyesha uwezo wao na bidhaa wanazotengeneza.
Mr Florenso  akaongeza kuwa zaidi ya wajasiriamali wadogo wadogo 100(mia Moja) na Wakubwa 50(hamsini) walishiriki kwenye maonesho hayo hasa lengo kuu ikiwa ni kuonesha aina mbali mbali za vyakula wanavyozalisha hivyo kuweza kujitangaza na kufahamika
Pichani Juu Katikati ni Meneja Masoko wa Hotel za Double Tree By Hilton Bwana Florenso Kirambata kushoto ni mpishi mkuu wa Double Tree Hassan na kulia ni Ayman.
 Mpishi Msaidizi wa Hotel ya Double Tree  Awadh(kushoto) Akiwa Anapata maelekezo toka kwa Mpishi mwenzake Ayman namna ya kuandaa na kuchanganya vyakula


  Mpishi mkuu wa Hotel za Double tree Bwana Hassan akitoa maelekezo kwa wasaidizi wake 
 Meneja Masoko wa Hotel za Double Tree By Hilton Bwana Florenso Kirambata akiwa na wapishi wa Hotel za Double Tree wakipata maelekezo kwa mmoja wa washiriki wa Maonesho ya chakula
 Wapish wa Hotel Za Double Tree Wakiangali moja ya Bidhaa Toka kwa mshiriki wa maonesho ya siku ya chakula
 Mwaandaaji mku wa Maonesho hayo wa kwanza Kulia akiwapa maelekezo wapishi wa Hotel za Double Tree 
 Mpishi msaidizi wa Hotel za Double Tree akiwapa maelekezo wateja waliotembelea banda lao namna chakula cha Hot Dog kinavyotengenezwa
 Banda la American Garden Walikuwepo nao kuonyesha Bidhaa zao Tofauti tofauti
 Watu mbali mbali wakiendelea kutembelea mbanda tofauti tofauti  na kujionea bidhaa
 Waudhuriaji wakiendelea kupata vyakula na kufarihia ladha tofauti za vyakula
 Wahudhuriaji pia walipata nafasi ya kubadilishana mawazo
 Wahudhuliaji wakiendelea kupata ladha tofauti za vyakula

FILAMU YA MAPENZI YA MUNGU KUINGIA SOKONI WIKI HII.

Mwezi, Wiki na Sasa siku zimebaki kwa ile Filamu Mpya na ya Kusisimua ya MAPENZI YA MUNGU Kuingia Sokoni ambayo imewakutanisha wasanii mahiri wa hapa hapa Tanzania ambapo Mmoja kati ya Wasanii waliocheza filamu hiyo Ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya anayejulikana kama Linah Sanga, kwa Kushirikiana na Elizabeth Michael bila Kumsahau Flora Mtegoha ambae ni Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba watakuwa ndani ya filamu Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU...Ni Filamu ambayo Kisa chake na Mafunzo yake yanasisimua lakini Pia ni Moja kati ya filamu ambayo kiukweli ina hadhi na vigezo vya kimataifa...... Nimefika hapa leo sio kwa Ujanja wangu Bali ni Kwa "Mapenzi ya Mungu..."
Filamu ya "Mapenzi ya Mungu" ni moja ya filamu ambayo Msanii Linah pamoja na Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba wameonyesha uwezo wa hali ya juu na kuthibitisha kuwa kweli Sanaa ni Kazi.
Filamu ya "Mapenzi ya Mungu" itakuwa Sokoni Kuanzi Wiki hii Kwa Wauzaji wa Filamu kote Nchini.
Filamu hii itasambazwa na Kampuni mahiri ya Proin Promotions Ltd.

Sunday, October 19, 2014

TI AFUNIKA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA , WAKAZI WA JIJI LA DAR WAJITOKEZA KWA WINGI

Msanii kutoka Nchini Marekani T.I akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar Katika Show ya FIesta iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Leaders.
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria Akiwajibika
Diamond Platnumz akitoa burudani
 Vanessa Mdee
 Dimpoz kwa pozi
 Ommy Dimpoz
 Mashabiki
 Banana
 Young Killa
 Waje kutoka NIgeria
 Mashabiki wakishangweka
 Victoria Kimani akiwajibika
 Rachel Kazini
 Rachel na wakata mauno wake. (PICHA NA LUKAZA BLOG)

455 WAHITIMU CHUO KIKUU AMUCTA -TABORA

www.kapipijhabari.com


Na Allan Ntana,Tabora

WANAFUNZI 455 wamehitimu mafunzo ya kozi mbalimbali ikiwemo shahada ya
uzamili katika Chuo Kikuu cha Askofu Mkuu Mihayo Tabora (AMUCTA)
ambacho ni Chuo Kikuu kishiriki cha Mtakatifu Augustino katika
mahafali ya pili ya Chuo hicho yaliyofanyika jana mjini Tabora.

Akizungumza katika mahafali hayo Mwenyekiti wa bodi ya Chuo hicho
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Paulo Ruzoka ambaye pia ni Askofu wa Jimbo
Kuu la Tabora aliwataka wahitimu hao kuwa kioo katika jamii na
kutekeleza majukumu yao kwa weledi mkubwa ili kukiwakilisha vyema chuo
hicho.

Askofu Ruzoka aliwakumbusha kuwa elimu waliyopata ni kwa faida ya
Watanzania wote hivyo wanapaswa kuitumia kwa manufaa yao na jamii
inayowazunguka mahali popote watakapokuwa sambamba na kushiriki kazi
zote kwani jamii ina mategemeo makubwa sana kwao.

Kuhusu mchakato wa katiba mpya, Askofu Ruzoka aliwakumbusha wahitimu
hao kusoma kwa makini katiba iliyopendekezwa ili zoezi la kupiga kura
litakapofika wafanye uamuzi sahihi na sio ushabiki tu wa makundi.

Aidha aliwakumbusha kuwa ili wawe na sifa ya kupiga kura ni lazima
wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura wakati
utakapofika.

Askofu Ruzoka alisisitiza zaidi wahitimu hao kuhamasishana wao kwa wao
wakiwemo wananchi wenye umri wa kupiga kura kwa pamoja wajiandikishe
kupiga kura ili haki yao ya msingi isipotee bure.

Aliwataka kuwa waelimishaji wazuri kwa jamii katika masuala mbalimbali
yanayolenga mustakabali wa maendeleo ya taifa kwa ujumla sambamba
kujiendeleza zaidi kielimu.

Katika hotuba yake Mkuu wa Chuo Kikuu cha Askofu Mkuu Mihayo Tabora
(AMUCTA) Padre Dr. Juvenalis Asantemungu alipongeza jitihada za bodi
na uongozi mzima wa chuo hicho ambazo zimekiwezesha kukua kwa kasi na
ongezeko kubwa la wanafunzi, wahadhiri na kozi mbalimbali.

Akizungumzia mkakati wa kuinua kiwango cha elimu hapa nchini Dr
Asantemungu alisema Chuo hicho kinampango wa kuanzisha kozi ya diploma
ya elimu kwa walimu wanaofundisha shule za msingi kozi ambayo itakuwa
inafundishwa siku za Ijumaa na Jumamosi ili kutoa fursa kwa walimu hao
kusoma huku wakiendelea na kazi zao lengo likiwa kuiwezesha serikali
kutimiza mpango wake wa ‘matokeo makubwa sasa’.

Akitoa takwimu za wanafunzi waliohitimu mwaka huu alisema wanafunzi 18
wamehitimu Shahada ya Uzamili katika Utawala wa Elimu na Mipango
(Maters of Education Management and Planning) na 345 Shahada ya kwanza
ya Elimu Jamii na Ualimu (Bachelar of Arts with Education).

Wahitimu wengine ni 48 wa Shahada ya kwanza ya Sosholojia (Bachelar of
Arts in Sociology) na 37 waliohitimu kozi za Astashahada katika fani
za Uongozi wa Biashara, Ununuzi na Ugavi, Ukutubi na Utunzaji wa
kumbukumbu.

Aidha Dr.Asantemungu aliwasisitiza kuwa mabalozi wazuri huko waendako
na wazidi kujiendeleza zaidi kwa shahada za Uzamili na Uzamivu kwa
kuwa elimu ni chachu kuu ya kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii
ulimwenguni kote huku akisisitiza uvumilivu wanapopambana na
changamoto katika safari yao kimaisha.

PRESIDENT KIKWETE OFFICIATES AT THE CNN MULTICHOICE AFRICAN JOURNALIST AWARDS GALA IN DAR ES SALAAM

the opening of  Gala Awards ceremony held at the Mlimani City Conference Centre, in Dar es Salaam on Saturday October 18, 2014.
 Part of the invited guests
 Invited guests
President Kikwete delivers his speech
Newsgathering TV and Digital, CNN International speaks
 Nico Meyer, CEO MultiChoice Africa
speaks 
 CNN International’s Isha Sesay co-host of  the
show
 Part of the invited guests
 Capital Television’s Frank Morandi co-host of the
show
 More invited guests
Award  honour after  Content Sales and  Partnerships, CNN International, made the presentation
 The attentive guests follow up the
proceedings
Award  presented with the trophy by   Ecobank Transnational Inc 
MEDIA ORTB Benin receives the trophy from  Co-Founder and Executive Chairman AllAfrica Global Media
MEDIA, Watan, Algeria, as  AllAfrica Global Media looks on after presenting the trophy
 CNN cameraman in action
Freelance for Landbouweekblad and The Mail & Guardian, South Africa,  the  AWARD, presented by  Public Affairs & Communications Manager, The Coca-Cola Company (left)  
The Nation Newspaper, Nigeria, winner of the  by  South Africa (left)
jailed Bheki Makhubu, of Swaziland
Makhubu after receiving the  from Ferial Haffajee, Chairperson of the 2014 Judging Panel (left)
receives the   PHOTOGRAPHIC AWARD, presented by  Media
Westgate attack in Nairobi, Kenya, are shown to the audience
speaks after accepting the    by  (left)
summons on stage his son Geoff Kihato to  share the glory of the   PHOTOGRAPHIC AWARD, presented by  Media
humbled as his son Geoff  Kihato receives the   from  Media
Susan Comrie, Mnet Carte Blanche, South Africa, receive the  AWARD, from   Financial Officer Africa
 The audience is glued as the cameramen are
busy
announces the winner of the  AWARD
for a little player after the announcement the he and Anne Mawathe have won
the  ITV
the  Msindisi Fengu the CNN MultiChoice African Journalists 2013
President Kikwete opens the envelope as CEO MultiChoice Africa, Deborah Rayner, SVP International Newsgathering TV and Digital, CNN International look on
MultiChoice Africa, Deborah Rayner, SVP International Newsgathering TV and Digital, CNN International look on
Kenyan journalist Joseph Mathenge  the top prize at this year’s CNN MultiChoice African Journalist 2014 Awards Ceremony held on Satuday night at the Mlimani City Conference hall in Dar es salaam. He has been honoured for  capturing the captivating images of Kenya, when the mall was attacked by unidentified gunmen in September 2013.
Mathege’s son, Geoff Kihato, also a photographer,  who helped his father capture the captivating images of   mall was attacked by unidentified gunmen in September 2013.
 The audience
Kenyan journalist Joseph Mathenge  the top prize at this year’s CNN MultiChoice African Journalist 2014 Awards Ceremony held on Satuday night at the Mlimani City Conference hall in Dar es salaam. Looking on is Mathege’s son, Geoff Kihato, also a photographer, who helped his father capture the captivating images of Kenya, when the mall was attacked by unidentified gunmen in September 2013.
Mathenge as President Kikwete, Mathege’s son Geoff Kihato and Deborah Rayner, SVP International Newsgathering TV and Digital, CNN International,  (partially hidden) look on.
Deborah Rayner, SVP International Newsgathering TV and Digital, CNN International, pose for  a group photo with Mathenge and son Geoff during the ceremony.
 The panel of judges being
introduced 
 Confetti rain of the panel of
judges 
 Confetti swallow the panel of
judges
 President Kikwete shakes hands with the panel of
judges
Isha Sesay co-host of  the show
Capital Television’s Frank Morandi co-host of the show
trophies at during the ceremony.
 Lady Jay Dee with her Machozi band
entertain
Mohamed Amin during the ceremony.
with the dignitaries during the ceremony.
Nayar and other guests as he takes his leave
Swaziland journalist Bheki Makhubu who received on his behalf the PRESS FREEDOM
AWARD.
STATE HOUSE PHOTOS