Pages

KAPIPI TV

Friday, September 26, 2014

SEMINA YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KWA MAAFISA WA MAKAMPUNI MBALIMBALI KATIKA(KANDA YA KINONDONI)MKOA WA TANGA YAFANYIKA

??????????????????????????????? Katibu Tawala Mkoa wa Tanga,Salum Chima akizungumza jana wakati akifungua semina ya mfuko wa pensheni wa PPF kwa maafisa wa makampuni mbalimbali katika (Kanda ya Kinondoni) mkoa wa Tanga.uliofanyika ukumbi wa mikutano wa mkuu wa mkoa wa Tanga jana. Picha zote na Oscar Assenga,Tanga.??????????????????????????????? Ofisa wa mfuko wa pensheni wa PPF mkoa wa Tanga,Bw.Vanance  akielezea namna semina hiyo itakavyofanyika wakati wa ufunguzi wake, ???????????????????????????????Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni inayojumuisha wilaya ya Kinondoni, mkoa wa Pwani (Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo) na mkoa wa Tanga,Zahra Kayugwa akizungumza katika semina hiyo jana na picha inayofuatia akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Tanga. ???????????????????????????????Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni inayojumuisha wilaya ya Kinondoni, mkoa wa Pwani (Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo) na mkoa wa Tanga,Zahra Kayugwa akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Tanga. ??????????????????????????????? wafanyakazi wa mfuko wa pensheni wa PPF leo kabla ya kuanza semina ya mfuko huo kwa maafisa wa makampuni mbalimbali katika(Kanda ya Kinondoni)mkoa wa Tanga jana. ???????????????????????????????washiriki wa semina hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa mfuko wa Pensheni wa PPF jana baada ya kufunguliwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Salum Chima aliyekaa katikati mwenye koti jeusi kulia ni Meneja wa PPF kanda ya Kinondoni,Mkoa wa Pwani  inayojumuisha wilaya ya Kibaha na bagamoyo) na mkoa wa Tanga,Zahra kayugwa ???????????????????????????????Katibu Tawala Mkoa wa Tanga,Salum Chima akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa mfuko wa Pensheni wa PPF jana kulia ni Meneja wa PPF kanda ya Kinondoni,Mkoa wa Pwani  inayojumuisha wilaya ya Kibaha na bagamoyo) na mkoa wa Tanga,Zahra kayugwa ??????????????????????????????? maafisa kutoka makampuni mbalimbali katika (kanda ya Kinondoni )mkoa wa Tanga wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa jana.
??????????????????????????????? maafisa kutoka makampuni mbalimbali katika (kanda ya Kinondoni )mkoa wa Tanga wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa jana.

MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAWAPONGEZA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA


Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Prof. Ruth Meena (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi na wajumbe wengine wa mtandao wa wanawake na Katiba.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari.
Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Usu Mallya (katikati) akizungumza katika mkutano huo na wanahabari. Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Usu Mallya (katikati) akizungumza katika mkutano huo na wanahabari.
Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.

…………………………………………………………………………………………..
MTANDAO wa Wanawake na Katiba Tanzania umewapongeza wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na hasa wajumbe waliokuwa mstari wa mbele kupigania masuala mbalimbali yaliyokuwa yanapendekezwa na mtandao huo juu ya uwepo wa Katiba inayopendekezwa yenye mtazamo wa kijinsia.

Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari ikiwa ni siku moja baada ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa kuwasilishwa kwenye Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma tayari kwa zoezi la kuanza kupigiwa kura kifungu kwa kifungu na wajumbe wa bunge hilo.

Prof. Meena alisema Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania haunabudi kuwapongeza wajumbe wote wa bunge maalum na hasa wale waliowaunga mkono kupaza sauti juu ya madai ambayo waliwasilisha kupitia mtandao wao na njia nyingine mbalimbali kushinikiza katiba inayopendekezwa kuwa na mlengo wa kijinsia ili kutoa usawa wa kijinsia.

Alisema Rasimu ya Katiba inayopendekeza imeonesha mwelekeo wa kutoa usawa wa kijinsia jambo ambalo mtandao huo unaamini ni mafanikio makubwa kwao na kwa jamii inayojali usawa wa kijinsia. Aliongeza kuwa yapo mambo kadhaa ambayo walipendekezwa yatajwe kwenye katiba kama umiliki wa ardhi kumtambua mwanamke na kutajwa kwa umri wa mtoto jambo ambalo wanaamini litapunguza kilio cha ndoa za utoto suala ambalo wanaharakati wa masuala ya kijinsia wamekuwa wakilipigia kelele siku zote.

“…Tunapenda kutoa pongezi kwa wajumbe wote wa Bunge Maalum la Katiba kwa moyo waliouonesha kujali masuala ya kijinsia kwa kiasi chake…tunaunga mkono rasimu ya Katiba inayopendekezwa kwa kuamini ni mwanzo mzuri wa kuonesha usawa wa kijinsia…,” alisema Prof. Meena akizungumza na wanahabari.

Kwa upande wake Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Usu Mallya akizungumza alisema licha ya mafanikio yao kwa mtandao wao wamehoji baadhi ya mapendekezo ambayo yamekataliwa na wajumbe hao ilhali yanamuelekeo mzuri juu ya uwajibikaji wa wanasiasa kwa wapigakura wao.

Alisema wameshangazwa na kitendo cha wajumbe wa bunge la katiba kuruhusu kipengele ambacho kimeweka utaratibu kuwa Rais wa nchi anaweza kushtakiwa ilhali wamepinga kipengele za kutoa fursa kwa wapiga kura kumuwajibisha mbunge wao baada ya kumchagua pale wanapoona ameshindwa kuwawakilisha kama walivyokubaliana. *Imeandaliwa na www.thehabari.com
Skylight Band Divas Mary Lukos(Wa kwanza Kushoto) Aneth Kushaba(katikati) Na Digna Mpera (Wa kwanza Kulia) wakitoa burudani ya nguvu Kwa Mashabiki Wao Ndani ya Kijiji cha Maraha Thai Village Ijumaa Iliyopita.Kila Ijumaa ya mwisho wa wiki Band Ya Skylight Wanapiga show Ndani ya Thai Village.Karibu Leo Upate burrudani ya nguvu yenye kukonga Roho yako na kutakuwa na Supriseeeeeee kibaoooo ndani ya Thai Village
          Hashimu Donode Akiimba kwa raha zake ndani ya Thai Village 
Shabiki huyu hakuweza kujizuia hisia zake pale alipoguswa na muziki mzuri uliokuwa ukiimbwa na Hashimu Donode
Donode Akiendelea kuimba na shabiki wake kwa Raha zaooooo
Digna Mpera akizipiga zile voca; kali za kumtoa nyoka pangoni
Mary Lukos Akifurahi na kucheza ala nzuriiii toka kwa wapiga vyombo wa Skylight Band Hawapo Pichani
Mary Lukos Kwa Rahaaaa zakeee akifurahia Muziki mzuri
Aneth Kushaba (wa kwanza kulia)akiimba kwa Furaha kuwapa burudani mashabiki wake ndani ya Thai village
Mary Lukos Akiimba Kwa Hisia kaliii Huku akipewa sapoti na Wenzake kushoto


Sony Masamba(mutoto ya Congo)akiimba kwa Raha zakee ndani ya Thai Village
Joniko Flower(mutu Ya Congo)Akizipiga zile vokali kaliii za kilingala ndani ya Thai Village
Vijana wa Skylight Band Joniko Flower(wa Kwanza Kushoto)Sony Masamba (katikati)Na Sam Mapenzi Wa mwisho kulia wakiyarudi mauno vilivyo kutoa burudani kwa mashabiki wao
Weweee Joniko Flower Akiwaongoza Wenzake kutoa burudani
Muziki ni raha na Hisia kama Sam mapenzi(wa kwanza kulia)anavyoonekana akiyarudi   mauno kwa rahaa zake
Hebu tazama mashabiki hawa wakiwa na mshangao wa furahaaaa kupata muziki mzuriiiiiiii huku wakichezaaaa kwa raha zaoooo
Hahaha Vijana wa Skylight hwa nao hakusita kucheza muziki mzuriiii uliokuwa ukiporomoshwa
Imma Mpiga Gita wa Skylight Band akizichana nyuzi vilivyooo ili kutoa burudani ya nguvuuuuuuu
Idrisa akizipiga drumsss zake kuleta redha ya muziki mzuriiiiiiiiii
Wapiga Kinanda wa Skylight Band wakifurahia ukodak wa nguvuuuu
Mpiga kinanda wa Skylight Band akivipiga vitufee vya kinandaa kwa rahaaa kabisa 
Mpiga Tumba wa Skylight Band Daudi Tumba  kitia ladha zake za tumba
Haya Skylight Band Huwa inawapenda sana mashabiki wake kama pichani inavyoonekana mashabiki hupata mda na wasaa wa kusheherekea siku zao za kuzali kwa kuimbiwa na kukata keki,Operation Manager Wa Mo Blog Zainul Mzige akilishwa keki ya Birthday kwa rahaa kabisaaa
Burudani imenoga sasa Hebu jionee mwenyewe mashabiki hawa wakiyarudiiii vya kutoshaaa kwa rahaaa zaoooo
Hahahaha Ni furahaaa na Kucheza muziki tuuuu jionee mwenyewe hapa
Mpaka juu mpaka juuuuuu kwa rahaaa zao kabisa mashabiki hawaaaaa
Hapoooo sasa ni viunoooo viunoooo mpaka basiiii,wakifurahia muziki mzuri toka kwa bendi yao Skylight
Safi sanaaaaa Unaona kiunoooo kileeee mwisho katikati ni furaha ya muziki mzuri wa skylight Band
Mashabiki wakiendelea kufurahia muziki mzuriiiii
Tazama shabiki huyuuuu akifurahi na kushangaaa baada ya kupigwa moja ya nyimbo anazopendaaa
Hapo sasaaaaa unaambiwa mwanamke nyongaaaaaa
Mikono juuu mikono juuuuu mashabiki wakichezeshwa muziki na waimbaji wa Skylight Band
Nyomiiiiiii lakutoshaaaaa wakifurahia burudaniiii kwa raha zaooooo
Wanamanyoya haoooo wakipata Ukodak wa Nguvuuuuuuuuu
Operation Manager wa Mo Blog Zainul Mzige(wa pili toka kushoto) akipata ukodak na wanamanyoya
Cathbert Kajuna Mmiliki wa KajunaSon Blog(wa kwanza Kushoto)akiwa na Hussein mmiliki wa Ujanatz Blog Na Makubwa Haya  Blog nas mkewe kulia wakipata Ukodak wa Nguvu
Le Mutuz Baharia mmiliki wa Blog ya wanainchi akipata ukodak na Aneth Kushaba meneja wa skylight Band,Usikoseeee Leo kutakuwa na Supriseeee Kibaoooooooo Ndani ya Thai Village