Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Sira Ubwa Mamboya kuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla Dk.Sira alikuwa Naibu Waziri wa Afya.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Juma Duni Haji kuwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano
katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa
Afya.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Rashid Seif Suleiman kuwa Waziri wa Afya,awali alikuwa
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano hafla ya kiapo ilifanyika katika
Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mahmoud Thabit Kombo kuwa Naibu Waziri wa Afya, hafla ya kiapo ilifanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akimuapisha Meja mstaafu Juma Kassim Tindwa kuwa Mkuu wa
Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba,(Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akimuapisha Bw.Omar Khamis Othman kuwa Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana , (Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akimuapisha Mwanajuma Majid Abdulla kuwa Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana ,kabla alikuwa
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, (Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Bw.Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi jana
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,awali alikua Afisa Tawala katika
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini magharibi Unguja, (Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Bibi Hanuna Masoud Ibrahim kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chake
chake Pemba jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, (Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]


No comments:
Post a Comment