Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
katika picha ya pamoja na wajumbe wa serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu
cha Mzumbe mjini Morogoro baada ya kuwahutubia chuoni hapo Agosti 25,
2014.
PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akihutubia wanafunzi, wahadhiri na wananchi katika Chuo Kikuuu cha
Mzumbe Morogoro baada ya kuzindua ukumbi wa mihadhara na jengo la
wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipokea zawadi ya picha yake ya kuchorwa wakati alipotembelea Chuo
Kikuu cha mzumbe ambapo walihutubia wanafunzi, wahadhiri na wananchi
katika chuo hicho baada ya kuzindua ukumbi wa mihadhara na jengo la
wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Meza kuu ikifurahia jambo wakati
Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Mvomero Mhe Amos Makalla akipohutubia
wanafunzi, wahadhiri na wananchi katika chuo hicho wakati Rais Kikwete
alipotembelea na kuzindua ukumbi wa mihadhara na jengo la wahadhiri
chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipokea risala toka kwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha
Mzumbe Mhe Boniface Maiga wakati Rais Kikwete alipotembelea na kuzindua
ukumbi wa mihadhara na jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Rais wa Serikali ya Wanafunzi ya
Chuo Kikuu cha Mzumbe Mhe Boniface Maiga akisoma risala wakati Rais
Kikwete alipotembelea na kuzindua ukumbi wa mihadhara na jengo la
wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata
utepe kuzindua jengo la mihadhara la Chuo Kikuu cha Mzumbe Morogoro
akisaidiwa na uongozi wa chuo hicho alipotembelea hapo na kuzindua
ukumbi wa huo jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Mzumbe Morogoro wakiweka kumbumbuku ujio wa Rais Kikwete
alipotembelea hapo na kuzindua ukumbi wa huo jengo la wahadhiri chuoni
hapo Agosti 25, 2014.
Umati wa wanafunzi, wahadhiri na
wananchi wakimsikiliza Rais Kikwete akiwahutubia alipotembelea hapo na
kuzindua ukumbi wa huo jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Umati wa wanafunzi, wahadhiri na
wananchi wakimsikiliza Rais Kikwete akiwahutubia alipotembelea hapo na
kuzindua ukumbi wa huo jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.


No comments:
Post a Comment