Pages

KAPIPI TV

Saturday, September 1, 2012

WAANDISHI WA HABARI DODOMA WATEMBELEA MRADI WA VIJIJI VYA MILENIA MBOLA

 Baadhi ya waandishi wa habari kutoka mkoani Dodoma na Tabora wakiwa na viongozi wa Mradi wa vijiji vya Milenia Mbola wakati walipotembelea mradi huo katika Tarafa ya Ilolangulu,hapa ni nje ya jengo la Community Center Ilolangulu.
Kiongozi wa mradi wa vijiji vya Milenia Mbola Dr.Gerson Nyadzi akitoa maelezo kwa waandishi wa habari wa Dodoma na Tabora,hapa alikuwa akizungumzia mafanikio ya mradi mkubwa wa maji ya bomba katika vijiji hivyo.

No comments: