Kamishna wa Sensa wa
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Hajjat Amina Mrisho Said
akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu
zoezi la Sensa ya watu na makazi 2012 linaloendelea nchi
nzima na kutoa wito kwa wananchi ambao bado hawajahesabiwa kutoa taarifa
kwa viongozi wa serikali za mitaa.
Waandishi wa habari
wakimsikiliza Kamishna wa Sensa wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)
Hajjat Amina Mrisho Said (hayupo pichani) leo jijini Dar es salaam
wakati akitoa taarifa ya kuongezwa kwa muda wa zoezi la Sensa ya watu na
makazi litakalomalizika tarehe 8 Septemba 2012.Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
No comments:
Post a Comment