Pages

KAPIPI TV

Friday, August 24, 2012

WAANDISHI WA HABARI TABORA WATAKIWA KUANDIKA HABARI KWA KUFUATA MAADILI

 Baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa Tabora wakiwa katika mafunzo ya Maadili katika tasnia ya habari nchini.
 Hapa wakiwa katika makundi ambayo ilikuwa ni wakati wakijadili ukiukwaji wa Maadili katika taaluma ya habari. 
Kutoka kulia ni Katibu mkuu Chama cha Waandishi wa habari mkoani Tabora Bw.William Mahimbo,katikati ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw.Theonas Liwa na mmoja kati ya wanachama Bw.Damas Kitundu wakati wa Mafunzo ya maadili kwa waandishi wa habari yaliyofanyika kwa muda wa siku tatu ambayo yanaratibiwa na Baraza la habari Tanzania.




No comments: