Rais mstaafu Benjamin Mkapa wakati wa ufunguzi wa kampeni za CCM kuwania jimbo la Igunga,katika picha hapa Mkapa akimnadi mgombea wa nafasi ya Ubunge jimbo hilo la Igunga Dr.Dalali Peter Kafumu.
Dr.Kafumu mara baada ya kushinda uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga,akizungumza na waandishi wa habari akielezea ushindi wake wakati huo nje ya ofisi ya halmashauri ya wilaya ya Igunga.Pembeni ni Hati ya ushindi wa Ubunge alioupata.
Dr.John Pombe Magufuli wakati akiwa katika kampeni za uchaguzi mdogo wa Igunga.

No comments:
Post a Comment