Baadhi ya wadau wa vijiji vya Milenia Mbola wakipata futari katika ofisi kuu za Mradi wa vijiji vya Milenia Mbola zilizopo mjini Tabora.
Matukio katika picha za hafla ya kulisha Futari
Dereva Exaud na mratibu wa kilimo wakipata futari.
Kulia ni katibu tawala mkoa wa Tabora Kudra Mwinyimvua akiwa anapata futari na mmoja wa wanafunzi wa Chuo kikuu cha Colombia.
Hapa ni dua ya pamoja mara baada ya kumaliza Futari kutoka mwanzo ni Shekh wa mkoa wa Tabora Shaaban Salum,Mkuu wa wilaya ya Tabora Suleiman Kumchaya,Kaimu mwenyekiti halmashauri ya Uyui Said Ntahondi na wa mwisho ni Kiongozi wa mradi wa vijiji vya Milenia Mbola Dk.Gerson Nyadzi.
Hawa ni baadhi ya maafisa katika mradi wa vijiji vya Milenia Mbola wakiwa katika hafla hiyo ya Futari.
Sheikh wa mkoa wa Tabora Shaaban Salum akizungumza katika hafla hiyo ya Futari.
Mkuu wa wilaya ya Tabora Suleiman Kumchaya naye akizungumza na umati wa watu waliohudhuria katika hafla hiyo.
Kiongozi na Mratibu wa vijiji vya Milenia Mbola Dk.Gerson Nyadzi akitoa neno la shukrani katika hafla hiyo ya Futari.

No comments:
Post a Comment