Pages

KAPIPI TV

Friday, August 10, 2012

MKUU WA WILAYA YA TABORA SULEIMAN KUMCHAYA AWATAKA WANANCHI KUWAPA USHIRIKIANO WARATIBU WA SENSA YA WATU NA MAKAZI

 Mkuu wa wilaya ya Tabora Bw.Suleiman Kumchaya akifungua mafunzo ya makalani wa Sensa ya watu na makazi kwa manispaa ya Tabora.
 Baadhi ya makalani wa Sensa ya watu na makazi katika manispaa ya Tabora wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Tabora kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Tabora Wasichana mjini Tabora.
Mratibu wa Sensa ya watu na makazi manispaa ya Tabora Bi.Nisalile Mwaipasi akisoma taarifa fupi mbele ya mkuu wa wilaya ya Tabora kuhusu mafunzo hayo ya Sensa ya watu na makazi ambayo inatarajiwa kufanyika hivi karibuni hapa nchini.

No comments: