DALADALA YATEKETEA KWA MOTO JIJINI DAR LEO HII
Gari
ya Abiria aina ya Isuzu Journey ikiteketea kwa moto mchana wa leo
maeneo ya Buguruni Rozana jijini Dar es salaam. Chanzo cha moto huo
hakikujulikana mara moja na hakuna aliejeruhiwa wala kupoteza maisha
katika ajali hii ya moto.
No comments:
Post a Comment