Pages

KAPIPI TV

Tuesday, August 7, 2012

MADIWANI,MEYA MANISPAA YA TABORA WAMALIZA TOFAUTI ZAO"Mkuu wa mkoa aagiza kuundwa tume kuchunguza mwenendo wa Halmashauri"

 Mstahiki Meya Manispaa ya Tabora Bw.Ghulam Dewij akiwa na baadhi ya madiwani baada ya kumaliza tofauti zao za muda mrefu,kulia ni diwani wa kata ya Mbugani Bw.Idd Kapama(CCM) katikati ni diwani wa kata ya Misha Bw.Hamisi Mlewa(Chadema)
Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Tabora  wakiwa katika kikao maalum.

  


No comments: