Pages

KAPIPI TV

Saturday, August 18, 2012

MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID-EL FITRY TABORA LEO

 Baadhi ya wakazi wa Tabora mjini wakiwa katika harakati za kufanya maandalizi ya sikukuu ya Eid-El-Fitri.
 Haya ndio maandalizi ya sikukuu ya Eid-El-Fitri kwa upande wa mavazi ya aina mbalimbali,mikusanyiko kila eneo la Tabora mjini.
 Viatu vya mitumba kwa wingi,kila mtu anapata mahitaji yake hapa ya viatu.



No comments: