Pages

KAPIPI TV

Friday, August 17, 2012

POLISI TABORA WAMEMKAMATA BABU MWENYE UMRI WA MIAKA 60 AKIWA NA MABOMU

 Mabomu yaliyokamatwa na makachero wa Jeshi la Polisi Tabora kwa Babu mmoja Msindi Kasaki(60) mganga wa kienyeji  mkazi wa Ilolangulu wilayani Uyui Mkoani Tabora,akiwa ameyaficha nyuma ya nyumba anayoishi akidai kuwa alikuwa amewekezwa na mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Maziku au Maganga.
 Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Anthony Rutha akitoa maelekezo kwa baadhi ya maafisa wa Jeshi hilo wilaya ya Tabora mjini,mbele katika picha ni mitambo ya kutengenezea pombe ya moshi,Gongo iliyokamatwa katika oparesheni maalum inayofanywa na Jeshi hilo.
 Kamanda wa Polisi mkoani Tabora ACP Anthony Rutha akitoa maaelezo kwa waandishi wa habari baada ya kukamata Mabomu manne na silaha bunduki iliyotengenezwa kienyeji.
Baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi Tabora

No comments: