Mshindi wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tabata 2012,Noela
Michael (katikati) akiwa pamoja na mshindi wa pili,Diana Simon (kushoto)
na wa tatu,Wilhemina Mvungi (kulia) muda mfupu baada ya kumalizika kwa
kinyang'iro hicho,usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini
Dar. Tano Bora. Kumi Bora. Washiriki Wote wakipita kwenye steji.
Warembo waliofanikiwa kuingia tano Bora wakiwa katika picha ya
pamoja kabla ya kutangazwa kwa mshindi wa shindano hilo usiku wa
kuamkia leo.
(Picha kwa hisani ya Michuziblog.)
No comments:
Post a Comment