Mwenge wa Uhuru ukikimbizwa kuingia katika wilaya ya Namtumbo
kuanza kazi ya kuhamasisha shughuli za maendeleo ukitokea wilaya ya
Songea.Jumla ya miradi 11 yenye thamani zaidi ya shilingi milioni 400
imezinduliwa,imewekewa mawe ya msingi na kufunguliwa.
Raia wa Marekani aliyefahamika kwa jina moja la Penzia akiwa
ameshika Mwenge wa Uhuru wakati uliposimama katika kijiji cha Hanga
kutoa ujumbe kwa wananchi kuhusu umuhimu wa wananchi kujiandaa
kuhesabiwa ifikiapo Agosti 26,2012.
Na Revocatus A.Kassimba
Afisa Habari
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
|
No comments:
Post a Comment