Pages

KAPIPI TV

Friday, June 22, 2012

CHAMA CHA WALIMU WILAYANI UYUI MKOANI TABORA CHAUNGA MKONO MADAI YA WALIMU KWA NCHI NZIMA"Kinajiandaa kuendesha mgomo usio na ukomo"

Baadhi ya viongozi wa Chama cha walimu wilaya ya Uyui katika kikao cha dharura kilichoketi kuunga mkono Chama cha walimu Tanzania kwa madai yake kuhusu ongezeko la maslahi ya walimu nchini

Baadhi ya wajumbe wa kamati tendaji ya Chama cha walimu wilaya ya Uyui,ambapo katika kikao walimu waliadhimia kuungana na CWT Taifa kuitisha mgomo usio kuwa na kikomo katika maeneo yao ya kazi.  

No comments: