Pages

KAPIPI TV

Friday, June 22, 2012

DAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME YAGUNDULIKA VIJIJI VYA MILENIA MBOLA"Wanaume waikimbilia, Yadaiwa kutibu pia magonjwa ya KISUKARI na MOYO"

Mwenyekiti wa Kikundi cha Maendeleo Endelevu Mbola MEMBO Bi.Mwadawa Luziga akionesha dawa hiyo ya asili inayodaiwa kutengenezwa kwa kutumia mimea ya asili.
Baadhi ya wataalamu kutoka Halmashauri za wilaya ya Igunga na Manispaa ya Tabora walipotembelea Mradi wa  Milenia Mbola,ambapo wataalamu hao walionesha kuikubali dawa hiyo ya asili na kuinunua kwa wingi.

No comments: