Pages

KAPIPI TV

Tuesday, May 15, 2012

WANAFUNZI WADOGO WANAVYOPATA SHIDA WAKATI WA KUVUKA BARABARA TABORA MJINI"Hulazimika kumsubiri askari wa usalama barabarani ili awavushe"

 Baadhi ya wanafunzi wa Shule za msingi wakiwa wanavushwa katikati ya mji wa Tabora ambako ajali hujitokeza mara kwa mara kulingana na miundombinu ambayo iliyoko maeneo hayo pamoja na uzembe wa watu wanaotumia vyombo vya usafiri hasa baiskeli na pikipiki.
 Watoto hawa wakiwa wanashindwa kuvuka wakihofia kugongwa hivyo wanamsubiri askari wa usalama barabarani ili aweze kuwavusha salama.

No comments: