Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Katibu wa NEC, Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye (kushoto) na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, kablaya
kuondoka Uwanja wa Ndege wa Dodoma, mchana huu, baada ya kumaliza vikao
vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) juzi na jana.
Rais Kikwete akiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Rais Kikwete akiagana na Nape. Kulia ni Waziri Mkuu Pinda
Rais akiagana na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma katika Idara ya Itikadi na Uenezi Makao Makuu ya CCM, Godfrey Chongolo.
Rais akiagana na Mbunge wa Mtera, Dodoma, Livingstone Lusinde
Rais akipanda ndege kwenda Dar es Salaam. Anatarajiwa pia kuondoka hii leo kwenda Marekani kikazi

No comments:
Post a Comment