Pages

KAPIPI TV

Wednesday, May 30, 2012

SERIKALI YAKABIDHI UBANI WA SHILINGI MILIONI KUMI KWA MAMA WA MAREHEMU KANUMBA

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makalla akikabidhi kiasi
cha shilingi milioni kumi kwa mama wa marehemu Steven Kanumba ikiwa ni rambirambi ya Serikali kwa
familia. (Picha na Benjamn Sawe wa WHVUM)

No comments: