Pages

KAPIPI TV

Wednesday, May 30, 2012

MAKAMU WA RAIS DK.BILALI AMKARIBISHA MAKAMU WA RAIS WA IRAN KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam kwa mazungumzo leo Mei 30, 2012. Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, leo Mei 30,2012, (kulia) ni Waziri wa Kazi wa Iran, Sheykhales Lam (kushoto) ni Mkarimani wa Makamu wa Rais wa Iran.Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, akiweka saini katika kitabu cha Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) wakati alipofika Ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo leo Me 30, 2012. Kuliani Waziri wa Kazi wa Iran, Sheykhales Lam. Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akiongozana na Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo, Mei 30, 2012 kwa ajili ya mazungumzo. Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.Picha na Muhidin Sufiani-
OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akiagana na Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, leo Mei 30, 2012. Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Picha
na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilalna Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, wakiwa katika mazungumzo maalum,  katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro Dar es Salaam leo Mei 30, 2012. Makamu wa  Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments: