Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi, Ofisi
ya Rais (Fedha,Uchumi na Mipango ya maendeleo),katika utekelezaji wa
mpango wa kazi za Ofisi hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar leo. [
Picha na Ramadhan Othman,IKULU.]
No comments:
Post a Comment