Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma
hotuba yake wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha ‘Checklist Of Tanzanian
Species’, iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo Mei 22, 2012. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR
Baadhi
ya wadau waliohudhulia uzinduzi huo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata
utepe kuzindua rasmi Kitabu cha ‘Checklist Of Tanzanian Species’ wakati wa hafla
hiyo iliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Mei 22, 2012. Kushoto ni Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa pili kulia) ni Mkurugenzi
Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dkt. Hassan Mshinda. Picha na
Muhidin Sufiani-OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha
Kitabu cha ‘Checklist Of Tanzanian Species’ baada ya kukizindua rasmi kitabu hicho wakati wa hafla iliyofanyika
Jijini Dar es Salaam leo Mei 22, 2012. Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano,
Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa Tume
ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dkt. Hassan Mshinda. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR
Baadhi
ya wadau waliohudhulia uzinduzi huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsikiliza Meneja wa Shirika la TANBIF Node, Hulda Gideon, wakati
alipotembelea sehemu ya maonyesho yaliyoandaliwa na Shirika hilo kwenye
uzinduzi wa Kitabu cha ‘Checklist Of Tanzanian Species’ uliofanyika leo Mei 22,
2012 jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika Picha ya pamoja na wadau waliohudhuria uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment