Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa
Pili wa Rais wa Zanzibar, katika utekelezaji wa mpango wa kazi za
Ofisi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar leo ,(kushoto) Makamo
wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad. [ Picha na Ramadhan
Othman,IKULU.]
No comments:
Post a Comment