Pages

KAPIPI TV

Tuesday, May 29, 2012

Prof.LIPUMBA AZINDUA RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU NCHINI YA MWAKA 2011 ILIYOANDALIWA NA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU LHRC

 Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wananchi CUF Prof.Ibrahim Haruna Lipumba afungua  Ripoti ya Haki za Binadam nchini katika Uzinduzi wa Ripoti hiyo ya mwaka 2011 iliyoandaliwa na Kituo Cha Sheria na Haki za Binadam
 Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadam LHRC Dr.Helen Kijo Bisimba akimkabidhi nakala ya Ripoti ya haki za binadamu ya mwaka 2011 Mwenyekiti wa Taifa wa CUF Prof.Lipumba wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa Ripoti hiyo.
Mkurugenzi Kituo Cha Sheria na haki za binadam Dr.Helen Bisimba akimkabidhi Balozi wa Sweden nchini Bw.Lennart Hjelmaker  nakala ya Ripoti ya haki za binadam ya mwaka 2011.
 Balozi wa Sweden nchini Tanzania Bw.Lennart Hjelmaker akisoma hotuba fupi katika uzinduzi huo
Watafiti na waandishi wa Ripoti hiyo wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) Kutoka kushoto ni Pasience Mlowe na Onesmo Ole Ngurumwa,kulia ni Mkurugenzi mtendaji Kituo cha msaada wa Sheria Zanzibar Harusi Mpatani.

No comments: