Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati
alipokwenda nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza jijini Dar es
salaam Aprili 9, 2012 kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu.(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa
mwigizaji mahiri nchini, marehemu Steven Kanumba, nyumbani kwake,
Sinza jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment