Pages

KAPIPI TV

Sunday, April 1, 2012

MFUKO WA BIMA YA AFYA WATOA MSAADA WA SHUKA 200"Huduma bure ya upimaji wa Afya kwa wananchi wapatao 500 Tabora mjini"

Mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF Bi.Mariam Wilmore akikabidhi msaada wa shuka 200 hospitali ya Kitete kwa kaimu mganga mkuu Dr.Paschal Nyango ikiwa ni sehemu ya kutimiza miaka kumi tangu kuanzishwa kwa mfuko huo,katika ni Mkurugenzi mkuu Bima ya Afya nchini Bw.Emmanuel Humba.
Baadhi ya wauguzi wa wadi ya wanawake hospitali ya Kitete baada ya kupokea msaada wa shuka.
Wananchi wakipima afya zao eneo la Soko kuu la mjini Tabora ikiwa ni sehemu ya kutimiza miaka kumi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  
Meneja wa Bima ya Afya kanda ya Magharibi Bw.Emmanuel Adina wakati akiwa anatoa elimu  kuhusu mfuko huo kwa mmoja wa wakazi wa Tabora mjini.











No comments: