| Shughuli ya kuuaga mwili wa askari PC JUMANNE ilifanyika katika ukumbi la Polisi Tabora mjini |
| Mchungaji wa kanisa la Adventist akiendesha Misa maalumu kwa ajili ya kuuaga mwili wa PC JUMANNE |
| SIMANZI,MAJONZI NA VILIO vilitawala wakati wa kuuaga mwili wa askari PC JUMANNE |
| Mwili ukipandishwa kwenye gari kwa ajili ya safari ya kuelekea nyumbani kwao marehemu PC JUMANNE Musoma vijijini |


No comments:
Post a Comment