Fundi mitambo wa mamlaka ya maji safi Tuwasa Bw.Hamisi Kauzu akitoa maelezo kwa watoto yatima wa Kituo cha Igambiro ambao walitembelea bwawa la Igombe na kuangalia shughuli za uzalishaji maji yanayotumiwa na wakazi wa manispaa ya Tabora.....Watoto hao katika kusherehekea siku kuu ya Eid Pili walitembelea katika bwawa hilo. |
No comments:
Post a Comment