Washindi wa Mashindano ya Redds Miss Tabora 2014 katikati ni Zena Motte mbaye ndiye mshindi wa kwanza,wapili ni Elizabeth Mkende wakati nafasi ya tatu ilichukuliwa na Lencer Kotato kati ya washiriki wanane walioshiriki mashindano hayo yaliyofanyika katika Chuo cha Teofilo Kisanji mjini Tabora. |
No comments:
Post a Comment