Timu ya kikosi kamili cha watangazaji wa kituo cha Redio mkoani Tabora kinachotamba na kujulikana kwa jina la CG FM ambapo matangazo yake yanapatikana kupitia masafa ya 89.5....CG FM kwa sasa mbali na kupatikana mkoa wa Tabora pekee lakini pia wanapatikana katika mikoa kadhaa inayopakana na Tabora huku ikitangaza vipindi mbalimbali vya kijamii,burudani na michezo bila kusahau taarifa ya habari iliyosheheni habari za uchunguzi wa kina kwa ngazi ya mkoa,Kitaifa na Kimataifa. |
No comments:
Post a Comment