Pages

KAPIPI TV

Saturday, September 1, 2012

NEMBO ZA TAIFA ZATUMIKA VIBAYA"Wapika Gongo wazitumia kuficha Maovu"

 Nyumba hii inatumia vipi Nembo za Taifa?....Je ni halali kutumika hivi au kuna jambo nyuma ya Pazia?
Huku nyuma ya nyumba hii Upishi wa Pombe haramu ya GONGO unaendelea kama kawaida na hakuna hatua zozote zinachukuliwa kutokana na biashara hiyo ambapo wastani wa lita 2000 huzalishwa kila siku chini ya kivuli hicho cha Nembo ya Taifa.

No comments: