Pages

KAPIPI TV

Tuesday, August 7, 2012

WAZIRI MKUU PINDA KATIKA PICHA ZA MATUKIO YA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza  na Mbunge wa Tabora Mjini , Aden Rage (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum Margaret Sitta kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma Agust 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kalenga na Waziri wa Fedha , William Mgimwa kwenye viwanja vya Buge Mjini Dodoma Agust 7, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: