Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akiwasha Mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mashine
hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14 katika kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu Bambi ,Wilaya ya Kati Mkoa waKusini Unguja leo.[ Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14 katika kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu Bambi ,Wilaya ya Kati Mkoa waKusini Unguja leo.[ Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(wa sita kushoto)akiangalia Mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya kufanya uzinduzi wa Mashine hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14 katika kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu Bambi ,Wilaya ya Kati Mkoa waKusini Unguja leo.[ Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia Mpunga Ukitoka katika mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya kuzindua mashine hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.[ Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Uongozi wa Wzara ya Kilimo na Maliasili,baada ya kuzindua rasmi mashine za Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) katika hafla iliyofanyika leo huko shamba la Kilimo la Serikali, Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[ Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri wa Kilimo na Maliasili Suleiman Othman Nyanga,(katikati) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Othman Affan Maalim, baada ya kumalizika hafla ya kuzindua mashine za (Combine Harvester) leo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na wananchi na wakulima wa Mpunga wa Maeneo mbali mbali baada ya kufanya uzinduzi rasmi wa mashine za Kuvunia Mpunga (Combine Harvester) huko Shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.
[Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
No comments:
Post a Comment