Pages

KAPIPI TV

Friday, August 3, 2012

FATMA MWASSA AFUNGUA MAONESHO YA NANENANE TABORA

 Mkuu wa mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa akifungua maonesho ya Nanenane Tabora katika viwanja vya Ipuli Mnadani.
 Sherehe za ufunguzi wa maonesho ya Nanenane mkoani Tabora pichani wakwanza kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tabora Bw.Suleiman Kumchaya.
 Mkuu wa mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa akibeba moja ya bidhaa aina Boga wakati wa maonesho ya Nanenane.
 Meneja masoko wa kampuni ya tumbaku ya ATTT
 Mkuu wa mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa akipata maelezo ya kina kuhusu zao la tumbaku na maandalizi yake shambani,Maafisa wa kampuni ya ATTT wakitoa maelezo hayo.
Mkuu wa mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa akijaribu kunawa maji ya moto katika moja ya kifaa kilichotengenezwa na kampuni ya CAMARTEC kinachotumika kwa ajili ya kuchemshia maji majumbani.
Mkuu wa mkoa wa Tabora akitembelea kwenye banda la Veta katika maonesho ya Nanenane Ipuli Tabora.

No comments: