Pages

KAPIPI TV

Tuesday, July 31, 2012

MTOTO MWENYE VICHWA VIWILI AZALIWA NA KUFARIKI BAADA YA SAA MOJA WILAYANI BUNDA

Mtoto mwenye vichwa viwili ambaye alizaliwa huko katika hospitali ya DDH  Bunda mkoani Mara muda mfupi mara baada ya kuzaliwa alifariki dunia,Bi.Sarah Abedinego(18) ambaye ndiye aliyemzaa mtoto huyo aliyefairiki saa moja baadaye alisema hiyo ni mara yake ya kwanza kubeba ujauzito huo.

No comments: