Pages

KAPIPI TV

Tuesday, June 5, 2012

SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, TABORA MJINI YAKITHIRI KWA UCHAFU

 Maeneo muhimu ya katikati ya mji wa Tabora yaliyo na sifa na kuupendezesha mji yanakabiliwa na uchafu karibu kila kona
 Mkuu wa wilaya ya Tabora mjini Bw.Suleiman Omary Kumchaya akiwa na baadhi ya viongozi ngazi ya wilaya wakiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani iliyofanyika katika Jengo la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,Community Center.
Eneo muhimu na lenye historia ya mji wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kuhusu Uhuru wa Taifa,linafahamika kama Community Center au Jengo la kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,likiwa limesheheni uchafu wa hali ya juu.

No comments: