Pages

KAPIPI TV

Wednesday, June 20, 2012

OPARESHENI YA TANESCO DAR YAFANIKIWA KUMNASA KISHOKA

 Mtuhumiwa wa kuunganisha umeme kinyemela (KISHOKA)kwenye majengo ya kariakoo jijini Dar es salaam  leo ambaye jina lake halikufahamika akishikiliwa na askari wa  jeshi la polisi baada ya Shirika la umeme Tanesco kuendesha operesheni ya kukamata wanaoiba umeme kwenye mkoa wa Dar es salaam manispaa ya  Ilala
Fundi kutoka Shirika la kuzalisha umeme Tanesco Bi.Fadha Wiliamu  akiangalia mita zilizounganishwa kwa njia ya wizi katika majengo hayo

No comments: