Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akikabidhi zawadi Zena
Mode, baada kuibuka mshindi, shindano la Miss Singida, lililofanyika
usiku wa kuamkia leo, Juni 2, 2012 katika ukumbi wa Aqua mjini Singida.
Mshindi wa kwanza amepata sh. 400,000, wapili sh. 300,000 na wa tatu
sh. 200,000. Akifungua shindano hilo, Nape
ameahidi kwamba CCM itatoa ajira kwa miss Singida kama atafanikiwa
kuingia katika tatu bora katika shindano la Miss Tanzania.na kwamba CCM
inayatambua mshindano ya urembo hapa nchini.
Nape akiwa na Miss Sgd, Zena Mode. wengine ni mshindi wa pili Rehema Marwa na mshindi wa tatu, Eliza Diamond
Nape akiwa na warembo kumi wote walioshiriki shindano hilo
Miss Singida, Zena Mondi akiwa na mshindi wa pili Rehema Marwa (kushoto) na wa tatu Eliza Diamond.
Warembo walioingia tano bora
Msanii Khadija Kopa akitumbuiza mashabiki wakati wa shindano hilo mjini Singida
Nape akimtuza Khadija Kopa wakati wa shindano hilo
No comments:
Post a Comment