Pages

KAPIPI TV

Friday, June 29, 2012

MANISPAA YA TABORA YADHAMIRIA KUTOA CHANJO YA VITAMINI A KWA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO WAPATAO 264,327

Kampeni ya kutoa Chanjo kwa Watoto chini ya Umri wa miaka mitano kwa manispaa ya Tabora imeanza leo.

Zoezi hilo ambalo litafanyika katika vituo 132 limepangwa kuwafikia Watoto wapatao 264,327.kwa muda wa siku mbili.

  

No comments: