Pages

KAPIPI TV

Friday, June 8, 2012

KITUO CHA MAFUTA CHA MBUNGE CHATEKETEA KWA MOTO TABORA MJINI


 Jengo la ofisi ya kituo cha mafuta cha Ng'ambo kinachomilikiwa na mbunge wa jimbo la Tabora kaskazini Mh.Mamro Suma,lilivyoteketea kwa moto ulioanza majira ya saa saba usiku.
 Katibu wa mbunge wa jimbo la Tabora Kaskazini Bw.Said Katala akizungumza na mtandao huu kuhusu ajali hiyo ya moto ulioteketeza kituo hicho cha mafuta.
 Moto huo ulivyosababisha hasara kubwa ambapo inakadiriwa kuwa kati ya shilingi mil.tatu hadi tano za mauzo zimeteketea kwa moto huo.Pichani ni kompyuta aina ya Dell ambayo ilikuwa ikitumika katika ofisi ya kituo hicho cha mafuta.

Moja kati ya mashine za Pampu za mafuta katika kituo hicho ambapo mashine tatu,mbili za Petrol na moja ya mafuta ya taa zilianza kuungua upande wa sehemu ya mipira ya kuchukulia mafuta.
 Mmoja kati ya wafanyakazi wa kituo hicho cha mafuta akiwa katikati ya mashine mbili za Pampu ya mafuta ya Petrol akijaribu kuangalia hasara iliyopatikana.
 Hii ndio picha halisi ya kituo cha mafuta cha Ng'ambo Filling Station kwasasa

No comments: