Pages

KAPIPI TV

Wednesday, May 30, 2012

WEMA SEPETU AVISHWA PETE NA MWINYI KUTOKA MACHOZI BAND "Ilikuwa ni New Maisha Club,wengi walishuhudia"

Mwimbaji wa bendi ya Machozi, Mwinyi akimvalisha pete ya uchumba mwigizaji wa bongomovie Wema Sepetu ambapo sherehe hiyo ilifanyika ndani ya Maisha Club jijini Dar es Salaam.
Kwa Raha zao wakifurahia sherehe yao
 Hapa akiwa amepiga magoti.
( Picha na Dj Choka Blog )

No comments: