Pages

KAPIPI TV

Thursday, May 24, 2012

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU KINAENDESHA MAFUNZO KWA WADAU WA MIKOA YA KANDA YA ZIWA-SHINYANGA

 Wadau mbalimbali kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wakishiriki mafunzo yanayotolewa na Kituo cha Sheria na haki za binadamu,mafunzo yanayofanyika mkoani Shinyanga.
 Mmoja kati ya washiriki wa mafunzo hayo kutoka wilayani Kishapu mkoani Shinyanga Bw.Antony Sollo wakati akichangia mada katika mafunzo hayo
 Mwandishi wa habari mkoani Mara Bw.Anthony Mayunga akiwa makini katika mafunzo hayo.
 Mwanasheria na Wakili kutoka kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Laetitia Petro ambaye pia katika mafunzo hayo ndiye alikuwa mkufunzi mkuu akisaidiana na Mwanasheria Rodrick Maro.
 Washiriki kutoka  mkoani Tabora Bw.George Kidiffu na Bw.Erick Mlowezi ambao wamehudhuria mafunzo hayo mjini Shinyanga.
 Baadhi ya washiriki wakimsikiliza kwa makini Wakili Laetitia Petro wakati wa mafunzo.
 Wadau na washiriki wa mafunzo hayo kanda ya Ziwa wakiwa katika mafunzo mjini Shinyanga.
Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa makini mada mbalimbali zinazotolewa katika mafunzo hayo yanayolenga kuimarisha kazi zao.

No comments: