Baadhi ya Wafanyakazi Bora wakifurahia jambo wakati wa mapumziko katika hifadhi ya Serengeti.
Baadhi ya Wafanyakazi wakimsikiliza mhifadhi wa Bonde la Oldupai Gorge (hayupo pichani) wakati akitoa maelezo kuhusu historia ya bonde hilo. Mojawapo ya hoteli za kitalii walipofikia Wafanyakazi Bora wa TPA.
Maafisa wa TPA, Janeth Ruzangi (kushoto) na Jones Macha (kulia) katika mapumziko baada ya safari ndefu mbugani.
Wafanyakazi na watalii wengine wakimshuhudia Simba mara baada ya kuwinda Nyati katika Mbuga ya Serengeti.

Wafanyakazi wa Bandari Mwanza, Dar Port na Makao Makuu katika picha ya pamoja ndani ya bonde la Ngorongoro.
(Habari picha kwa hisani ya Mjengwablog)
No comments:
Post a Comment