Pages

KAPIPI TV

Monday, May 14, 2012

NEMC YATOA MAFUNZO KWA MAOFISA WA SERIKALI ZA MITAA KANDA YA MAGHARIBI KUHUSU ATHARI ZA MAZINGIRA NCHINI

 Baadhi ya maafisa wa baraza la Taifa la hifadhi ya mazingira NEMC na maafisa wa Serikali za mitaa kanda ya magharibi wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa.
 Mkuu wa mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa akizungumza jambo na Mkurugenzi mkuu wa Idara ya Tathmini ya Athari kwa mazingira(TAM)Bw.Ignace Mchallo,  mara baada ya ufunguzi wa Warsha ya mafunzo kuhusu tathmini ya athari za mazingira kwa maofisa wa Serikali za mitaa kanda ya magharibi kutoka mikoa ya Shinyanga,Kigoma na Tabora inayofanyika ukumbi wa VETA Tabora mjini.
 Mkurugenzi mkuu Idara ya Tathmini ya Athari kwa Mazingira Bw.Ignace Mchallo akiwa katika mahojiano mafupi na mwandishi wa habari mwandamizi wa gazeti la Habari Leo mkoa wa Tabora, Bw.Lucas Raphael.
 Baadhi ya wajumbe katika warsha hiyo wakisikiliza kwa makini


No comments: