Pages

KAPIPI TV

Saturday, May 26, 2012

MCHEZAJI MAARUFU WA TIMU YA TAIFA NA KOCHA WA YANGA,SEKILOJO CHAMBUA ATEMBELEA SHINYANGA

 Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa,kocha na mchezaji wa timu ya klabu ya Yanga,Sekilojo  Johnson Chambua(kutoka kushoto) akiwa na mwandishi wa habari mwandamizi wa Radio Free Africa na Star Tv Shaaban Alley walipokutana katika moja ya Hotel ya kisasa ya KARENA iliyoko mjini Shinyanga.
Wanasalimiana baada ya kukutana katika Hotel ya KARENA.

No comments: