Pages

KAPIPI TV

Saturday, May 26, 2012

KICHANGA CHATUPWA BAR BAADA YA KUZALIWA,KIGOMA POLISI WAMSAKA MWANAFUNZI ALIYEJIFUNGUA NA KUTUPA KICHANGA CHOONI

Kichanga kilichotupwa katika moja ya Bar mjini Shinyanga na mwanamke mmoja ambaye hadi sasa bado hajafahamika, Picha na Shaban Alley - Shinyanga

Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linamsaka mwanafunzi mmoja wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Mwike mjini Kigoma Bi. Rehema Issa(22) ambaye ni mkazi wa eneo la Kamara kwa tuhuma za kujifungua na kukitumbukiza kichanga chake chooni.

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo SSP Francis  Mwakabana, amesema kuwa kichanga hicho ambacho kiliokolewa na wanafunzi wa shule moja ya msingi kikiwa hai lakini kilifariki muda mfupi wakati kilipokuwa kikipelekwa Hospitalini kwa matibabu.

Kufuatia tukio hilo, Kaimu Kamanada wa Polisi mkoani kigoma ametoa wito kwa wananchi kuendelea kutoa taarifa za kuwafichua wahalifu ili wakamatwe na kukabili mkono wa sheria.

0784 886488, 0715 886488, 0767 886488 

 

No comments: