Baadhi ya Masheikh waliohudhuria
katika Mkutano wa Waziri wa Katiba na Sheria Abubakari Khamis Bakari
wakisikiliza kwa makini maelezo mbalimbali yaliokuwa yakitolewa
kuhusiana na mchakato wa Katiba mpya na mihadhara inayofanywa sehemu
mbalimbali za Zanzibar.
Waziri wa Katiba na Sheria
Zanzibar Abubakar khamis Bakari akifafanua jambo katika mkutano na
Baadhi ya Masheikh wa jumuia mbalimbali za kiislam kuhusiana na mchakato
wa Katiba mpya na mihadhara inayofanywa sehemu mbalimbali za
Zanzibar.Kulia yake ni Waziri wa nchi afisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Mohd Aboud na kushoto yake ni Kadhi Mkuu wa Zanzibar sheikh khamis Haji.
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa
Pili wa Rais Mohd Aboud akifafanua jambo katika mkutano na Baadhi ya
Masheikh wa jumuia mbalimbali za kiislam kuhusiana na mchakato wa Katiba
mpya na mihadhara inayofanywa sehemu mbalimbali za Zanzibar.Kulia yake
ni Waziri katiba na Sheria wa Zanzibar Abubakar Khamis na kushota yake
ni WAziri wa Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
Mwinyihaji Makame.
Amiri kutoka katika Jumuiya
ya Uamsho Mselem Ali akielezea jambo katika mkutano na Waziri wa Katiba
na Sheria Abubakari Khamis kuhusiana na mchakato wa Katiba mpya na
mihadhara inayofanywa sehemu mbalimbali za Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu CUF Ismail Jusa
Ladhu akifafanua jambo katika mkutano na Waziri wa Katiba na Sheria
Abubakari Khamis kuhusiana na mchakato wa Katiba mpya na mihadhara
inayofanywa sehemu mbalimbali za Zanzibar kulia yake ni Naibu Katibu
Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.
No comments:
Post a Comment